Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini Uyui, Almas Maige akishuhudia bendera ya Bunge ikishushwa kutoka kwenye majengo yaliyokuwa ofisi za Bunge na kuibadilisha kuwa ya Mwenyekiti wa Uyui Media LTD, ikiwa ni ishara ya kumaliza muda wake wa ubunge na kwenda kuchukua fomu za kuomba kugombea tena ubunge kupitia CCM
wakikunja bendera hiyo
Wakiondoa kibao ya Ofisi ya Mbunge
Wakiweka kibao cha Ofisi ya Mwenyekiti |
Post a Comment