A
liyekuwa mbunge wa Momba kupitia CHADEMA David Silinde ajiunga Rasmi na Chama cha Mapinduzi na kupokelewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Ndg. Humphrey Polepole.
Aidha Pamoja na David Silinde wimbi la wanachama wapatao 1500 wamejiunga Rasmi na CCM MOMBA
#imeishaaiyoooo
#Achakaziiendeleeee
#AchaKaziiendeleeee
Imetolewa na
Idara ya Itikadi na Uenezi
Chama Cha Mapinduzi
Post a Comment