Featured

    Featured Posts

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MALAWI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera  muda mfupi baada ya kusimikwa rasmi  kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi leo Julai 06,2020 kwenye Sherehe iliyofanyika katika Kambi ya Jeshi ya Kamuzu,  Lilongwe nchini Malawi.(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana