Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Taasisi ya Mifupa MOI imeokoa maisha ya mtoto wa kike wa miezi miwili aliyetupwa na mama yake maeneo ya Tegeta na kuumia kichwani. Mtoto huyo alipokelewa MOI kama mgonjwa asiyefahamika tarehe 29/06/2020 na ameshapata matibabu anaendelea vizuri. Kwa sasa tumempatia jina la PRECIOUS MOI.
Post a Comment