Featured

    Featured Posts

RAIS MAGUFULI AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN WILLIAM MKAPA LUPASO MASASI MKOANI MTWARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.




Add caption

Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa wakati wakielekea kuweka Udongo kwenye Kaburi la Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Kijijini Lupaso Masasi mkoani Mtwara
PICHA NA IKULU
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana