Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani ambaye anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa na uteuzi huo unaanza leo tarehe 30 Julai, 2020.
Post a Comment