SUBIRA MGALU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM (UWT) MKOA WA PWANI
Naibu Waziri wa Nishati anayemaliza muda wake, Subira Mgalu (kulia), akipokea fomu kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Bagamoyo Rukia Masenga, alipofika juchukua fomu hiyo jana kwa ajiki ya kuomba ridhaa ya CCM ya kuwania nafasi ya Ubunge Viti maalumu (UWT) Mkoa wa Pwani.
Post a Comment