|
Mwakilishi wa Taasisi ya HAK Humanitarian Aid Organization kutoka nchini uturuki, Murat Ayidin akimkabidhi mtoto mkono wa Eid Alhaji walipotembelea kituo cha Yatima Rufiji ambapo pia walikabidhi nguo kwa ajili ya sherehe ya sikukuu ya Eid Alhaji. |
|
Mwakilishi wa Taasisi ya HAK Tanzania, akimkabidhi mtoto mkono wa Eid Alhaji walipotembelea kituo cha Yatima Rufiji ambapo pia walikabidhi nguo kwa ajili ya sherehe ya sikukuu ya Eid Alhaji. |
Mwakilishi kutoka Taasisi ya HAK Tanzania na HAK Uturuki, Murat Ayidin wakiangalia bweni lililoungua la Shule ya Ummu Salama, Utete Rufiji jana, kuona jinsi gani wanaweza kusawaidia kukarabati. PICHA NA ASHARCK MIRAJI.
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment