Aidha Kamanda Mambosasa, amesema Jeshi la Polisi Kanda Maalum limewakamata wahalifu 32 ambao walihusika na wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Benki ya NMB.
Amesema wahalifu hao walikuwa wakihusika na wizi wakati wa usindikizaji wa fedha kupeleka katika matawi mbalimbali ya benki hiyo.
Pia Mambosasa ametaja baadhi ya vifaa ambavyo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limevikamata baada ya kuwa vimeibiwa ni pamoja na Pesa na Vifaa vya ndani.
Post a Comment