WANUFAIKA WAMIMINIKA KUTEMBELEA BANDA LA BODI YA MIKOPO KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Daniel Maarifa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa utoaji na urejeshaji wa mkopo kwa wananchi waliotembelea Banda la HESLB katika maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. PICHA ZAIDI...BOFYA HAPA
Post a Comment