Mgombea ubunge Mteule wa Jimbo la Kondoa Vijijini, kupitia CCM, Dk. Ashatu Kijaji akiwa na furaha baada ya kupata fomu ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea jimbo hilo. |
Ilikuwa ni nderemo na kucheza baada ya Dk. Kijaji kuteuliwa na NEC kuwa mgombea wa jimbo hilo. Dk. Kijaji ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango.
Akizungumza na wananchi
Post a Comment