Featured

    Featured Posts

DK MAGUFULI AREJESHA FOMU NEC, ATEULIWA RASMI KUWA MGOMBEA URAIS WA CCM TANZANIA

 #Uchaguzi2020: M/kiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dk John Magufulikuwa mgombea wa Kiti cha Urais na Samia Suluhu Hassan  kuwa mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais kupitia 
CCM na kukabidhiwa seti za fomu na nyaraka muhimu kuwa kumbukumbu kwao. Tukio hili limefanyika asubuhi hii.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana