Featured

    Featured Posts

JPM ALIVYOPIGA SIMU UWANJA WA UHURU, AZUNGUMZA NA WASANII


NI Agosti 15, 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amepiga simu uwanja wa Uhuru kuzungumza na watanzania waliofika kushuhudia burudani inayoendelea muda huu.

Rais Magufuli alisikika akisema ‘Kwakweli nimefurahi sana kwa wasanii na watanzania waliofika kushuhudia burudani, nilikuwa natamani na mimi ningekuwepo kwakweli hongereni sana, nilikuwa nasikiliza kila nyimbo kwakweli CCM ni baba lao’- Rais Dkt John Pombe Magufuli

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video ujionee Rais Magufuli alivyopiga Simu uwanja wa Uhuru 

MAMIA WALIOFURIKA UWANJA WA UHURU, DC GONDWE ATOA KAULI “SIONDOKI, HALI NI SHWARI”

LIVE: KUMEKUCHA DIAMOND, HARMONIZE, ALIKIBA, ZUCHU STAGE MOJA UWANJA WA UHURU

 

 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana