KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Suleiman Mzee akicheza mchezo wa ‘Draft’ na Mfungwa wa Gereza Mbarali, Mkoani Mbeya. Wafungwa hushiriki burudani mbalimbali gerezani ikiwa ni sehemu mojawapo ya programu za Urekebishaji magerezani. #UREKEBISHAJI.Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akikagua shamba la zao la korosho katika eneo la Gereza Mbarali Mkoani Mbeya alipofanya ziara ya kikazi leo Agosti 6,2020.
Post a Comment