Featured

    Featured Posts

MAANDALIZI YA MWISHO-MWISHO KUELEKEA 'KAWE DAY' YATAKAYOFANYIKA KESHO YAENDELEA.


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani, Wilayani Kinondoni, Dar es Salaam Safina Egha, akikagua wanafunzi waliokuwa katika hatua za awali za kutengeneza batiki, jana, kwa ajili ya maonyesho ya kuonyesha ustadi katika fani mbalimbali, wakati wa Maadhimisho ya siku ya kuanzishwa rasmi shule hiyo miaka 16 hadi sasa 'Kawe Day' yatakayofanyika kesho.
Mkuu wa shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani, Wilayani Kinondoni, Dar es Salaam Safina Egha, akiwauliza jambo wanafunzi waliokuwa katika hatua za awali za kutengeneza batiki, jana, kwa ajili ya maonyesho ya kuonyesha ustadi katika fani mbalimbali, wakati wa Maadhimisho ya siku ya kuanzishwa rasmi shule hiyo miaka 16 hadi sasa 'Kawe Day' yatakayofanyika kesho.
Mkufunzi wa utengenezaji batiki akiandaa  randi za kutengenezea bidhaa hiyo
Wanafunzi wakianika batiki baada ya kuzinakshi kwa rangi
Wanafunzi wakianika batiki baada ya kuzinakshi kwa rangi
Wanafunzi wakiwa katika mafunzo ya Sayansi na Mwalimu wao



Utaalam wa kutengeneza gari inayotumia Solar badala ya mafuta
Ujenzi nyumba ya ghorofa


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana