Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika jana Agosti 07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akizungumza na Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika jana Agosti 07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma.
Post a Comment