Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimana na Mtoto Jadian Simon Senga (6) mkazi wa Dar es salaam kabla ya kuanza kwa Matembezi ya Kilomita 5 kwa ajili ya kuchangia gharama za upasuaji wa Moyo kwa Watoto katika Taasisi ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam Agosti 16,2020. Matembezi hayo yameandaliwa na Banki ya CRDB pamoja na mbio za nusu Marathon.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Matembezi ya Kilomita 5 kwa ajili ya kuchangia gharama za upasuaji wa Moyo kwa Watoto katika Taasisi ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam Agosti 16,2020. Matembezi hayo yameandaliwa na Banki ya CRDB pamoja na mbio za nusu Marathon. kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikamilisha kuongoza Matembezi ya Kilomita 5 kwa ajili ya kuchangia gharama za upasuaji wa Moyo kwa Watoto katika Taasisi ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam Agosti 16,2020. Matembezi hayo yameandaliwa na Banki ya CRDB pamoja na mbio za nusu Marathon. kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waananchi wa Mkoa wa Dar es salaam Baada ya kukamilisha kuongoza Matembezi ya Kilomita 5 kwa ajili ya kuchangia gharama za upasuaji wa Moyo kwa Watoto katika Taasisi ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam Agosti 16,2020. Matembezi hayo yameandaliwa na Banki ya CRDB pamoja na mbio za nusu Marathon. wa pili kulia ni Waziri wa Habari na Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harison Mwakiembe kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Abdulmajid Nsekela.
Post a Comment