MBUNGE WA ZAMANI MULLA AMPONGEZA MTEGA MGOMBEA UBUNGE MTEULE MBARALI
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya, Haroon Mulla Pirmohmed akimpongeza Francis Mtega ambaye jina lake limepitishwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi kugombea Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Mtega katika kura za maoni alishika nafasi ya pili. PICHA NA ASHRACK MIRAJI.
Post a Comment