Featured

    Featured Posts

MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. RAIS DKT. MAGUFULI AKICHUKUA FOMU OFISI ZA NEC DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Magufuli, leo Tarehe 06 Agosti, 2020 anachukua fomu ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) Njedengwa Jijini Dodoma.

Baada ya kuchukua fomu, Rais Magufuli atakwenda katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma (White House) ambako atakutana na wanachama, wapenzi na wakereketwa wa CCM na kuwasalimu

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana