Akizugumzia Moto Huo kamanda wa kikosi cha zima moto Na uokoaji Kondoa Ndugu Katala Issa Amesema kuwa Moto huo ulianza Saa 10 Usiku leo katika katika kiwanda hicho,
Amesema kuwa moto huo umeteketeza zaidi yamafuta lita elfu moja ya alizeti na Chanzo akijajulikana, lakini pia madhara makubwa yaliyopatikana ni pamoja na kuteketea jengo lote la kiwanda.
Post a Comment