Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Mwaka wakati wa mkutano huo ulio fanyika Jijini Dar es Salaam Julai 30, 2020.
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Joshua Allen akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Mwaka kwa wana Taalumawa wa Kumbukumbu za Afya wakati wa mkutano huo ulio fanyika Jijini Dar es Salaam Julai 30, 2020.
Washiriki wakimsikiliza Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu alipokuwa akizungumza jambo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Mwaka ulio fanyika Jijini Dar es Salaam Julai 30, 2020.

Mtunza Kumbukumbu za Afya Mwandamizi MOI, Noel Kima (kushoto) akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo. kushoto ni Daniel Mulokozi
Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu (wa wanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
Mwenyekiti wa Chama cha Watunza Kumbukumbu za Afya Tanzania, Geofrey Semu (wa wanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
Post a Comment