Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi akiongoza kikao cha kujadili na kupitia Miundo ya Taasisi ( organization structures ) ili kuendana na matakwa ya sheria iliyoanzisha Jeshi la Uhifadhi.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamishna wa Uhifadhi wa Taasisi za Uhifadhi za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania, Hifadhi za Taifa Tanzania, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania.
Kikao hicho kimefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma.
Kikao hicho kimefanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma.
Post a Comment