RAIS DK. MAGUFULI APEWA NA TAG TUZO YA UONGOZI THABITI WA KUMTANGULIZA MUNGU KUKABILIANA NA CORONA
Rais Dk. Magufuli akipokea Tuzo kwa ajili Uongozi thabiti wa kumtengemea Mungu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID 19 unaosababishwa na vitusi vya Corona, kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Dk. Barnabas Mtokambali, wakati wa Mkutano Mkuu waJwa TAGDTAG uliofanyika leo Ijumaa Agosti 14, 2020.
Post a Comment