Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli ameahidi kufanya upanuzi wa barabara na kujenga vibanda vya Wajasiriamali katika eneo la Dumila, Wilaya ya Mvomelo Mkoani Morogoro.
Pia alipewa mhindi na kuula palepele wakati akiwa safarini kutoka Dar kuelekea Dodoma.(Picha:IKULU)
Post a Comment