Kundi la kwanza la Watanzania waliohitimu Udaktari nchini Cuba wanasafari leo Agosti 22 na kurejea nchini Tanzania kwa usfiri wa ndege baada ya kukwama Cuba kwasababu ya Corona.
Wizara ya Mambo ya nje imesema kuwa kundi hilo la watanzania litasafiri kwa ndege maalum ya Ufaransa hadi Paris, kisha kupanda ndege ya shirika la ndege ya Ethiopia Airline hadi Dar es salaam.
Aidha Wizara imesema kuwa kundi la pili la watanzania waliokwama nchini Cuba litarejea nchini tarehe 4 Septemba 2020.
Post a Comment