Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar Nd,Sabra Issa Machano wakati alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall iliyojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar,hafla ya iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall likiwa limejengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar Nd,Sabra Issa Machano na (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mohamrd Ramia Adbiwawa hafla ya ufunguzi iliyofanyika leo.
Mwenyekiti wa Maskani kaka ya Kisonge CCM Nd.Juma Rajab akitoa maelezo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara baada ya kulifunguzi Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar (kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar Nd,Sabra Issa Machano, hafla ya ufunguzi iliyofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar Sabra Issa Machano akiingia katika Viwanja vya Mapinduzi Square Michenzani mjini Zanzibar mara baada ya kulifunguzi Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar hafla ya ufunguzi iliyofanyika leo.
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa ZSSF wakifuatiliwa kwa makini Hotuba ya Ufunguzi Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko huo liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla iliyofanyika leo
Baadhi ya waalikwa na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar, hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya kulifungua jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall hatika hafla iliyofanyika leo Michenzani Mjini Zanzibar (kushoto) Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) sherehe za ufunguzi wa jengo hilo zilifanyika leo Viwanja Mapinduzi Square
Post a Comment