Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Misungwi, wilayani Misungwi Mwanza, katika mkutano wa kampeni za CCM, Septemba 24, 2020.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Pastory Mnyeti kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika Kata ya Misungwi, Septemba 24, 2020.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Misungwi, wilayani Misungwi Mwanza, katika mkutano wa kampeni za CCM, Septemba 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment