Featured

    Featured Posts

MAMA SAMIA 'AWASHA MOTO' KATIKA MJI MDOGO WA NDANDA WILAYANI MASASI MKOANI MTWARA, LEO

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020. (Picha  na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda alipowasili katia uwanja wa kijiji cha Mateko Ndanda Wilayani Masasi wa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 13,2020. 

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Ndanda Wilayani Masasi wakishangilia Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020.  

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Ndanda Wilayani Masasi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020.  

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana