Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Kamishna wa Polisi (CP) Liberatus Sabas na SACP Lenata Mzinga(kulia) wakiwakabidhi Bendera ya Tanzania, Maafisa wa Polisi wanaenda kwenye Ulinzi wa Usalama wa Amani nchini Sudani, kabla ya kuanza safari, Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma (Picha zote na Jeshi la Polisi)
POLISI WANAOENDA KWENYE ULINZI WA AMANI NCHINI SUDAN WAAGWA LEO JIJINI DODOMA
![](http://img2.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Kamishna wa Polisi (CP) Liberatus Sabas, akimsalimia WP Kirsten Said alipokuwa akiwaaga Askari wanaoenda Sudan kwenye Ulinzi wa amani, Makao Makuu ya Polisi Jijini Dodoma, leo.
Post a Comment