Featured

    Featured Posts

POLISI YABAINI JINSI MADEREVA WANAOWAHI KUFIKA STENDI WANAVYOLIPWA

 

Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania Fortunatus Muslim, amefika katika stendi kuu ya mabasi  mkoani Arusha nakufanya ukaguzi wa magari ambapo ametoa onyo kwa madereva wanaokimbizana barabarani kwa lengo lakupewa fedha pale wanapowahi kufika stend.

“kuna baadhi ya madereva wanabet,nasikia kuna kikundi cha watu wanawapa fedha wale wanaokuwa wa kwanza kufika pale”-Kamana Muslim

Kwa upande wa mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Arusha Solomon Mwangamilo ,ametoa tahadhari kwa madereva wa makampuni ya magari yaliyotajwa kuhusika na mwendo mkali barabarani.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana