Rais Dk. John Magufuli akiongozana na mgeni wake Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye Uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, akiwa katika ziara ya siku moja hapa nchini,leo
Rais Dk. John Magufuli akiongozana na mgeni wake Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi baada ya mgeni huyo kuwawasili kwenye Uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, leo
Rais Dk. John Magufuli akiongozana na mgeni wake Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi kwenda eneo maalum kwa ajili ya kupigiwa mizinga 21 na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati mgeni huyo alipowasili kwenye Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, leo Jumamosi, Septemba 19, 2020.
Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi akipigiwa mizinga 21 na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati mgeni huyo alipowasili kwenye Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, leo Jumamosi, Septemba 19, 2020.
JWZ wakati mizinga ikipigwa
Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi akienda kukagua paredi maalum la mapokezi la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), alipowasili kwenye Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, leo Jumamosi, Septemba 19, 2020.
Rais Dk. John Magufuli akiwa na mgeni wake Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, leo, Jumamosi Septemba 19, 2020.
Rais Dk. John Magufuli akizungumza Jukwaani wakati Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi alipowasili kwenye Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, leo, Jumamosi Septemba 19, 2020.
Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kupokewa na Rais Dk. John Magufuli alipowasili mjini Kigoma leo kufanya ziara ya siku moja..
Post a Comment