Featured

    Featured Posts

KAMPENI ZA MGOMBEA UBUNGE CCM TEMEKE ZAZIDI KUCHANJA MBUGA


Abbas Mtemvu Akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Temeke  kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, wakati wa kampeni hizo zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya Makangarawe Oktoba 24 Dar es Salaam.





 Abbas Mtemvu akiteta jambo na Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke  kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave wakati wa kampeni  zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya Makangarawe Oktoba 24 Dar es Salaam.





Abbas Mtemvu akimkaribisha Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke  kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, wakati alipowasili katika Mkutano wa kampeni hizo. 
Add caption




Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, akizungumza jambo na wanachama na wananchi waliojitokeza kumsikiliza wakati wa kampeni hizo zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya Makangarawe Oktoba 24 Dar es Salaam..


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana