MAMA SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA SEKTA BINAFSI KUMPONGEZA JPM KWA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA SEKTA HIYO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa Sekta Binafsi kwa ajili ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kwa kazi nzuri na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chake cha miaka mitano ya Uongozi wake kuanzia 2015/2020, katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Jjijini Dar es salaam leo Octoba 18,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Post a Comment