Featured

    Featured Posts

MVUA KUBWA KUTOKEA, MAFURIKO PIA VIFO VINAWEZA KUTOKEA-TMA

 

Mamlaka ya hali ya hewa nchini,(TMA), imetoa muelekeo wa mvua za msimu za mwezi Novemba 2020 hadi April mwaka 2021 ambapo imeeleza uwepo wa mvua za wastani katika nyanda za magharibi Na mvua za wastani hadi wa chini kwa upande wa magharibi.

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Agness Kijazi, amesema kuwa mvua hizo zinatarajiwa kuanza mwezi wa Novemba na kuisha katika mwezi wa nne huku muda wa kuanza mvua hizo unatofautiana kulingana na maeneo husika.

Vipindi vya mvua kubwa vinaweza kusababisha kutuama kwa maji na mafuriko na kupelekea uharibifu wa miundombinu na upotevu wa maisha na mali, mamlaka za miji na wadau wengine wanashauriwa kuboresha mifumo ya kupitisha maji taka na kuisimamia ili kupunguza athari zinazoweza sababisha mafuriko” Kijazi

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana