Featured

    Featured Posts

NUKUU MUHIMU ZA DK. BASHIRU AKIWA NA MGOMBEA WA URAIS DK. MAGUFULI

 


……………………………………………………………………………………….

“Kitambulisho chako cha NIDA kitatumika, leseni ya udereva inatumika, hati ya kusafiria inatumika kama umepoteza kitambulisho chako cha kupigia kura, lakini tukisha piga kura mapema asubuhi turudi nyumbani kwa amani na usalama.”

“Rais Magufuli anahitaji timu ya viongozi wenzake, lazima tumuunganishe na madiwani wa CCM, lazima tumuunganishe na wabunge wa CCM hao madiwani ndio wanaunda baraza la maendeleo la Kata”

“Wapinzani wetu mnawajua, vikao vikinoga wao wanakimbia vikao, mijadala ikinoga wanaweka midomo plasta, ikitokea dharura hata mbuzi tu akiingia bungeni wanatoka, dawa yao ni kuwanyima kura, mkisha wanyima kura mbadala wao ni madiwani wa CCM, wabunge wa CCM na jembe letu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.”

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana