Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Humphrey Polepole akiwanadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima (kushoto) na Mgombea Udiwani Kata ya Makongo Ndugu Rwegasira katika Mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo eneo la Makongo Juu, Jimbo la Kawe, Dar es Salaam. Picha nyingine za taswira ya mkutano huo hizo hapo👇
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Post a Comment