Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye amegombea kiti hicho kupitia CCM, akipiga kura yake Chamwino, Dodoma.
Baada ya kupiga Dk. Magufuli amesema,
"Nawapongeza Watanzania kwa kuiona siku hii ya leo muhimu, naona maandalizi yalikuwa mazuri nimepiga kura mimi na mke wangu".
"Nasisitiza amani tuendelee kuitunza Watanzania kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi"
Magufuli anawania muhula wa pili.
Post a Comment