Sheikh mkuu na Mufti wa Tanzania, Abubakari Zubeir amewataka watanzania kuhakikisha wanailinda amani ya nchi wakati huu ambapo taifa linaelekea kufanya uchaguzi mkuu
Mufti mkuu ametoa wito huo leo jijini DSM, wakati akizungumza na waandishi wa habari kwa lengo la kutoa ujumbe wa Mufti kuelekea uchaguzi mkuu.
“Tusitumike na watu wengine kuivuruga amani yetu ambayo mwenyezi MUNGU ametupatia hii ni tunu ya Watanzania wote bila ya kujali dini zao na makabila yao” Mufti
Post a Comment