Featured

    Featured Posts

Video;:WATAKAOSABABISHA VURUGU UCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO-IGP SIRRO

 

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema kuwa wamejipanga kulinda amani katika kipindi zoezi la upigaji kura kwenye uchaguzi Mkuu huku akitaja sababu kwanini wameweka askari wakutosha mkoani Arusha.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Mkoani Arusha, Sirro amewaambia wananchi kuwa askari wamejipanga kuhakikisha wanasimamia amani na haki.

“Arusha ni mahala ambapo miaka ya nyuma kulitokea fujo kwahiyo ni mahala ambapo tumepanga, tumeweka askari wa kutosha, askari wa kiraia, wa operesheni na askari wa upepelezi wote wapo timamu kuhakikisha arusha inakuwa shwari” IGP Sirro

“Nina taarifa kuna vikundi vichache vinataka kuleta uvunjifu wa amani wasijaribu kufanya hivyo wakifanya hivyo maana yake wanajiingiza kwenye kutenda makosa natutawashugulikia kabla ya siku yenyewe”  IGP Sirro

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana