Featured

    Featured Posts

YANGA YAMFUNGASHIA VIRAGO KOCHA ZLATKO

 

Uongozi wa Yanga SC licha ya kupata ushindi wa magoli 3-0 leo dhidi ya Coastal Union wametangaza kumfuta kazi kocha wao mkuu Zlatko Krmpotic raia wa Serbia.

Zlatko huwa hadumu na timu
🇹🇿Yanga SC siku 37
🇿🇦Polokwane siku 113
🇷🇼 APR siku 159
🇧🇼 Jwaneng Galaxy Siku 189
🇿🇲 Zesco siku 165

Zlatko hadi anatimuliwa Yanga SC alikuwa kaiongoza timu hiyo katika michezo 5 na ameshinda mechi nne na sare moja, sare mchezo mmoja, lakini leo ndio ushindi wake mnono wa kwanza wa zaidi ya goli.


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana