Featured

    Featured Posts

DKT BASHIRU AFUNGUA KIKAO CHA SIKU MBILI CHA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA CCM NA KAMATI ZA UTEKELEZAJI ZA JUMUIYA ZA CHAMA JIJINI DODOMA LEO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. Bashiru Ally akiwa na viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili ukimbini kufungua Kikao cha siku mbili cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Kamati za Utekelezaji za Jumuiya za Chama - UVCCM, UWT  na WAZAZI ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM  jijini Dodoma leo. Wengine kutoka kushoto ni Meenyekiti wa Jumuiya ya  Umoja wa Wanawake Tanzania Gaudentia Kabaka Kisha akaendelea kuongoza kikao hicho. Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo na kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM Kheri James na Katibu wa NEC Oganaizesheni Perreira Silima. Chini ni picha zaidi za kikao hicho.👇



author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana