Wachezaji wa timu ya Mpira wa kikapu ya Mkoa wa Mbeya, Mbeya City, wakishangilia baada ya kuabidhiwa Kombe la ubingwa wa mashindano ya Taifa ya mpira huo kwenye viwanja vya Burudani vya Chinangali, jijini Dodoma. Waliifunga Temeke vikapu 55-68 katika fainali hiyo. Pia timu hiyo ilizawadiwa sh. mil. 2 ambapo pia Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini aliahidi kuwazawdia sh. mil. 5. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Timu ya Temeke ikiwa katika picha ya pamoj na viongozi mbalimbali baada ya kukabidhiwa kombe na hundi kwa kushika nafasi ya pili katika mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Benki ya CRDB
Post a Comment