Featured

    Featured Posts

MDAU WA MAENDELEO AIKABIDHI MSAADA WA KOMPYUTA TANO SHULE YA SEKONDARI KAWE UKWAMANI JIJINI DAR ES SALAAM

Mdau wa  maendeleo Davidi Kayuni akimkabidhi kompyuta kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Kawe Ukwamani, Safina Egha, wakati wa hafla iliyofanyika shuleni hapo, jijini Dar es Salaam, jana. Mdau huyo amekabidhi jumla ya kompyuta tano kutimiza ahadi yake aliyoitoa wakati wa hafla ya Siku ya Wazazi ya shule hiyo, (Kawe Day), iliyofanyika miezi kadhaa iliyopita.
Mdau wa  maendeleo Davidi Kayuni akimkabidhi kompyuta kwa Kiranja Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani Prudence Golodiani wakati wa hafla hiyo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani Safina Egha (kushoto) na Mwalimu wa Shule hiyo, Ajuaye Yusuph (Sir Zungu), na baadhi ya Walimu na wanafunzi wakikabidhiwa vifaa hivyo na David Kayuni (kulia).
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani Safina Egha akizungumza wakati wa hafla huyo. Kutoka kushoto Habari  Katibu wa Kamati ya maendeleo ya wazazi Hamad Ngenje, Katibu wa CCM Kata ya Kawe Fatma Awadhi na David Kayuni
Mwalimu Ajuaye Yusuph ( Sir Zungu) akitoa neno la shukrani wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya Wazazi waliohudhuria hafla hiyo.


 Baadhi ya Wanafunzi waliohudhuria hatla hiyo. Picha zote na Adim Hamis
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana