Featured

    Featured Posts

USHINDI WA CCM TANGU 1995-2020


 MATOKEO YA UCHAGUZI 1995 HADI 2020


Mwaka 1995

Benjamin Mkapa(CCM) :4,026,422 (61.82%)

Augostini Mrema(NCCR) : 1,808,616 (27.77%)

Wabunge CCM: 214

Wabunge NCCR:19

Wabunge Chadema:4


Mwaka 2000

Benjamin Mkapa(CCM): 5,863,201 (71.74%)

Ibrahim Lipumba (CUF): 1,329,077 (16.26%)


Wabunge CCM: 243

Wabunge CUF:21

Wabunge Chadema:5


Mwaka 2005

J.K Kikwete: 9,123,952 (80.28%)

Lipumba: 1,327,125(11.68%)


Wabunge CCM: 264

Wabunge CUF:30

Wabunge Chadema:11


Mwaka 2010

Jakaya Kikwete: 5,276,827 ,(62.83%)

Willibrod Peter Slaa: 2,271,491, ( 27.05%)


Wabunge CCM: 259

Wabunge CUF:48

Wabunge Chadema:36


Mwaka 2015

John Magufuli: 8,882,935 ,(58.46%)

Edward Lowassa: 6,072,848,(39.97%)


Wabunge CCM: 252

Wabunge CUF:42

Wabunge Chadema:70


Mwaka 2020

John Magufuli :12,516,252 ,(84.4%)

Tundu Lissu: 1,933,271, (13.04%)


Wabunge CCM: 256

Wabunge CUF:3

Wabunge Chadema:1

Wabunge ACT: 4


NB:Kwa uchaguzi wa mwaka 1995 hadi 2015 viti  vyama vya upinzani vingine havijaorodheshwa 



Kumbe CCM kuanzia mwaka 1995 -2020 wangekuwa na wabunge zaidi ya 200+

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana