Mahakama ya wilaya ya Arumeru imeahirisha kesi inayomkabili Ombeni Alfayo Mollel anayekabiliwa kwa kosa lakufanya shambulio lakujaribu kumuua mke wake kwa kumjeruhi nakusababisha kiganja cha mkono wa kulia kutengana na mkono.Mtuhumiwa huyo kwa sasa ameachiwa kwa dhamana.
Post a Comment