AZZAN ZUNGU AKABIDHI OFISI KWA WAZIRI MPYA WA WIZARA YA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RrAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA UMMY MWALIMUMU, LEO
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Azzan Zungu akimkabidhi baadhi ya nyaraka kwa Waziri mpya wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu, katika makabidhiano ya ofisi katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine
Post a Comment