Bibi mwenye miaka 94 mkazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Martha Kuzilwa,amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati tena suala lake la ardhi aliloagiza lifanyiwe kazi kutokana nakutishiwa kuuawa hadi kupelekea kuweka fensi ya umeme kuzunguka nyumba yake kwa ajili ya kujilinda
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Zephania Chaula amekiri kulifahamu suala hilo na ameshapokea malalamiko ya bibi huyo kutishiwa nakumuagiza mkuu wa polisi wa wilaya (OCD) ambapo ameahidi kulifuatilia tena suala hilo
Suala lakutishiwa mtu huwa hatuliachi hivihivi nilimuagiza (OCD) aone namna bora yakumsaidia huyu mama kuwapata wanaomtishia “DC Chaula
Post a Comment