Wanafunzi wa kidato cha nne Feza boys hiliyopo Tegeta, wakiwa wanacheza mbele ya wazazi wao wakati wakisherekea mahafali ya kidato cha nne. Sherehe hiyo imefanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi bora kwenye Masomo kidato cha Nne Shule ya Wavulana na Wasichana Feza, ambao wamefanya vizuri katika mithiani yao ya Mock kanda ya Dar es salaam. wakiweka kumbukumbu ya Majina yao kwenye vitaru maharum vya Shule,kushoto Lissa William na kulia ni Isaya Chales wakati wakisherekea kuhitim Elim ya sekondari..mahafali hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mwalim Nyerere. PICHA NA ASHRACK MIRAJI.
Post a Comment