Makamu Mkurugenzi wa shule za Feza nchini, Albert Saimon akimkaribisha mgeni rasmi, Ezra Chilewesa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo kwenye mahafali ya 17ya shule ya awali Feza liyopo mikocheni katika sherehe za mahafali zilizofanyika Kawe jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi shule ya awali Feza,Bijan khorshi Hassan akimpa mkono Mgeni rasmi baada ya kuoma risala kwenye mafahali hayo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa shule za Feza, Albert Saimon na wa kwanza kulia ni Mustafa Ceric mkuu wa shule ya msingi Feza na Mkuu wa Shule ya Feza ya Awali, Madam Arzu Yilmaz.
Wanafunzi wa shule ya awali Feza wakicheza ngoma ya kitamaduni wakati wa mahafali yao ya kuhitimu elimu hiyo na kujiunga na darasa la kwanza 2021. PICHA NA ASHRACK MIRAJI
Post a Comment