Msikilize Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT-CCM) Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akielezea mambo mbalimbali ikiwemo jinsi uongozi wake ulivyowezesha ujenzi wa miradi miwili ya Shule ya Awali na jengo la maduka Kilimani, jijini Dodoma, na mipango mingine ya ujenzi katika viwanja vyao 6 walivyovikomboa baada ya kudhurumiwa.
Pia mama huyo jabali, amewapongeza wanawake kwa kufanikisha ushindi mkubwa wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Vilevile ameupongeza uongozi wa juu wa chama hicho kinachoongozwa na Rais John Magufuli kwa kazi kubwa waliyoifanya kwa miaka mitano ya kuiletea Tanzania mafanikio jambo ambalo pia limechangia CCM kupata ushindi mkubwa.
Mdau naomba nisikumalizie uhondo, endelea kusikiliza mengi zaidi kupitia Clip hii ya Video....
Post a Comment